| wahitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam, wakiwa mbele ya mgeni rasmi tayari kwa kutunukiwa shahada zao. |
| Fatihiya Mohamed (wa pili kushoto) akiwa tayari kwa kutunukiwa shahada ya uzamili ya biashara na uongozi. |
| wahitimu wakisubiri kusogea mbele ili kukabidhiwa shahada zao. |
| Fatihiya na wahitimu wenzake wakisikiliza jambo wakati wakisubiri kutunukiwa shahada zao za uzamili ya biashara na uongozi. NA FRANCIS GODWIN BLOG |

0 comments:
Post a Comment