![]() |
Tutakumisi jembe letu; Angetile Osiah Malabeja amepewa likizo TFF wakati anasubiri hatima yake |
KIKAO cha kwanza cha Kamati mpya ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jana chini ya Rais, Jamal Emil Malinzi kimemuengua Katibu Mkuu wa kuajiriwa, Angetile Osiah Malabeja.
Rais Malinzi, alifungua kikao kwa ajenda ya kmuengua Angetile na Wajumbe wakaafiki, lakini wanamng’oa kistaarabu.
Angetile amepewa likizo ya muda usiojulikana na wakati anasubiri hatima yake, aliyekuwa Ofisa Habari wa shirikisho hilo, Boniface Wambura Mgoyo atakatimu nafasi yake. TFF itatoa taarifa rasmi muda mfupi kuanzia sasa.
0 comments:
Post a Comment