Monday, October 21, 2013

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana,alipowasili katika Uwanja wa Ndege  wa Dodoma,alipohudhuria
kuyafungua mafunzo maalum ya Viongozi na Watendaji wa Chama cha Mapinduzi   katika ngazi mbali mbali na Jumuiya zake katika ukumbi wa White House,Makao Makuu ya CCM,Dodoma leo . {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A0822 
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika mafunzo ya Viongozi na Watendaji wa  Chama cha Mapinduzi,na Jumiya zake wakiwa
katika ukumbi wa Mkutano wa Makamo Makuu ya CCM Dodoma, leo kabla ya hutuba ya ufunguzi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A0834 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana, wakiimba wimbo wa Chama wakati wa ufunguzi  wa mafunzo maalum kwa Viongozi na Watendaji wa Chama wa Ngazi mbali mbali na Jumuiya zake,katika ukumbi wa White House,Makao Makuu ya CCM,Dodoma leo asubuhi. {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akitoa hutuba yake wakati alipokuwa akiyafungua mafunzo maalum ya Viongozi na Watendaji wa Chama Cha Mapinduzi katika ngazi mbali mbali na Jumuiya zake  ,katika ukumbi wa Makamo Makuu ya CCM Dodoma leo asubuhi.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video