Mwenyekiti wa Mzizima branch aliyeshika kipaza sauti akihojiana na kijana aliyepotea hapo ufukweni mwenye umri wa miaka saba.
Huu ndio umati unaokadiriwa na umethibitishwa kuhudumiwa na vijana arobaini (40) wa Redcross waliojitolea kwa tatizo lolote.


0 comments:
Post a Comment