Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana (hawapo pichani) kuhusiana
na tamasha kubwa la “Kili Music Tour litakalofanyika siku ya Jumamosi
katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, ambapo kiingilio
kitakuwa sh. 2500 pamoja na bia moja ya bure.(kulia katikati)Diamond,na
Madee,pamoja na wasanii wengine.

Madee akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo
(Picha na Philemon Solomon wa Fullshangwe Dar es salaam)
0 comments:
Post a Comment