Baadhi ya viongozi wa Chama , Serikali na Bunge walishiriki mazishi ya Nemela Phillip Mangula Leo Njombe Viongozi wa Chama kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Vijana Taifa Mhe. Sadifa , Mwenyekiti wa Wazazi Taifa Ndg. Bulembo, Mjumbe wa NEC -Temeke Ndg. Magesa na Katibu wa uchumi wa Vijana wakijadiliana mambo muhimu ya Kitaifa leo Njombe wakati wa mazishi ya Nemela Phillip Mangula
0 comments:
Post a Comment