RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWAKILISHI MAALUM WA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA KATIKA DARFUR LEO Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumoz naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumoz naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikiza Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013 PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment