Home
»
»Unlabelled
» MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI TABORA KUHUDHURIA SWALA NA BARAZA LA IDDI KITAIFA LEO, AFUTURU NA VIONGOZI NA WANANCHI WA TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, jana jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora leo, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment