Baadhi
ya Wadada ambao majina yao hayakuweza kujulikana wakifurahia Mchezo wa
Bao la Jadi kama wanavyoonekana hapo pichani walipotembelea Banda la
Jeshi la Magereza leo mchana. Bao hilo la Mchezo wa Jadi limetengenezwa
kwa kutumia Mbao aina ya Mninga na ni miongoni mwa bidhaa mbalimbali za
samani za majumbani ambazo zina Ubora wa juu ikilinganishwa na samani
zinazotoka nje ya nchi. Katika Banda la Magereza zipo pia bidhaa zingine
kama vile Sabuni, viatu pamoja na vikoi, vikapu, vinyago na
majiko(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Home
»
»Unlabelled
» YALIYO JIRI KATIKA BANDA LA JESHI MAGEREZA LEO MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA
Wednesday, July 3, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment