 Keki iliyoandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO  kwa ajili  ya kuadhimisha miaka 95 ya  kuzaliwa  Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mzee  Nelson Mandela.
Keki iliyoandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO  kwa ajili  ya kuadhimisha miaka 95 ya  kuzaliwa  Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mzee  Nelson Mandela. Afisa Habari Mkuu  wa Idara ya Habari- MAELEZO, Anna Itenda  akitoa maelezo mafupi jinsi  alivyofanya kazi na Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mzee  Nelson Mandela pamoja Hayati  Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere. Kushoto kwake ni Mkurugenzi  Msaidizi wa idara hiyo ,Zamaradi Kawawa.
Afisa Habari Mkuu  wa Idara ya Habari- MAELEZO, Anna Itenda  akitoa maelezo mafupi jinsi  alivyofanya kazi na Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mzee  Nelson Mandela pamoja Hayati  Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere. Kushoto kwake ni Mkurugenzi  Msaidizi wa idara hiyo ,Zamaradi Kawawa.  Afisa Habari Mkuu  wa Idara ya Habari- MAELEZO, Anna Itenda  akikata keki  wakati wa  hafla fupi  ya  kuadhimisha miaka 95 ya  kuzaliwa  Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mzee  Nelson. Keki  hiyo  iliandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO
Afisa Habari Mkuu  wa Idara ya Habari- MAELEZO, Anna Itenda  akikata keki  wakati wa  hafla fupi  ya  kuadhimisha miaka 95 ya  kuzaliwa  Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mzee  Nelson. Keki  hiyo  iliandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO  Afisa Habari Mkuu  wa Idara ya Habari- MAELEZO, Anna Itenda  akimlisha keki  Afisa  Habari Mwandamizi  wa idara hiyo , Jovina  Bujulu  wakati wa  hafla fupi  ya kuadhimisha miaka 95 ya  kuzaliwa  Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mzee  Nelson  Mandela , huku waandishi wa habari  wa vyombo mbalimbali  wakifurahia  hafla  hiyo iliyoandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO .
Afisa Habari Mkuu  wa Idara ya Habari- MAELEZO, Anna Itenda  akimlisha keki  Afisa  Habari Mwandamizi  wa idara hiyo , Jovina  Bujulu  wakati wa  hafla fupi  ya kuadhimisha miaka 95 ya  kuzaliwa  Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mzee  Nelson  Mandela , huku waandishi wa habari  wa vyombo mbalimbali  wakifurahia  hafla  hiyo iliyoandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO .
Picha zote  - Hassan Silayo – Maelezo.




0 comments:
Post a Comment