SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO JULY 11, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hamisi Amir Msumi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hilda A. Gondwe kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Celina Augustine M. Wambura kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali wakipiga picha ya pamoja na Mwenyekiti mpya wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Serikali Mhe Hamisi Amiri Msumi pamoja na wajumbe wapya Mhe Hilda A. Gondwe na Mhe Celine Augustine M. Wambura na viongozi wa Tume hiyo leo Ikulu jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Mhe Hamisi Amir Msumi na familia yake baada ya kumuapisha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Mhe Hilda A. Gondwe na familia yake baada ya kumuapisha kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Mhe Celina Augustine M. Wambura na familia yake baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam
0 comments:
Post a Comment