Afisa
wa Bunge Ndg. Christopher Kanonyele akifafanua kwa wananchi majukumu ya
msingi ya Bunge kama yalivyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, kwenye maonesho ya Sabasaba yanayoendelea katika
Viwanja vya Mwal Nyerere.
Mwananchi akisikiliza kwa hisia maelezo kuhusu siwa ya Bunge na umuhimu wake katika vikao vya Bunge, kwenye maonesho ya sabasaba


Afisa
Habari wa Bunge Prosper Minja akifafanua hatua kwa hatua namna miswada
inavyowasilishwa Bungeni hadi inapokuwa sheria kwa mwananchi
aliyetembelea Banda la Bunge wakati wa Maonesho ya Sabasaba
Wananchi
wakifuatilia kwa makini maelezo ya picha za waliowahi kuwa maspika wa
Bunge tangu kuanza kwake lilikiwa baraza la kutunga sheria mwaka 1926
kutoka kwa afisa wa Bunge Ndg. Ismail Jimrodger
Muonekano wa Banda la Bunge kwa nje katika viwanja vya sabasaba


Picha zote na Owen Mwandumbya
0 comments:
Post a Comment