Tuesday, June 4, 2013

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com

Hatimaye biashara kwisha kabisa, jijini London habari ya huko ni kurejea kwa kocha, the spesho one, Jose Mourinho ambaye leo amesaini mkataba wa miaka minne kuinoa klabu yake ya zamani ya Chelsea.
Kocha huyo wa zamani wa klabu ya Benfica, FC Porto, Inter Millan na Real Madrid amerejea katika klabu yake ya zamani aliyoochana nayo mwaka 2006 baada ya kutofautiana na bosi wake Roman Abramovich.
Baada ya kumwaga wino katika karatasi ya mkataba wa miaka minne, Mourinho amekiri wazi kuwa Chelsea ni klabu anayoipenda zaidi ikifuatiwa na Inter Millan, na sasa anarejea kwa mara ya pili.
Mourinho amesaini mkataba ikiwa ni masaa machache amalize kibarua chake santiago Bernabeu, na leo hii amefurahi sana kurejea EPL.
Back in town: Jose Mourinho holds his Chelsea shirt after being confirmed as the new Chelsea manager  
Karudi mjini: Jose Mourinho akiwa ameshika jezi yake ya Chelsea akiwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea
Back in town: Jose Mourinho holds his Chelsea shirt after being confirmed as the new Chelsea manager

Welcome home: Mourinho says he has two passions in football, Chelsea and Inter  
Karibu nyumbani: Mourinho amekiri kuwa anaipenda zaidi Chelsea kuliko karibu zote duniani, ya pili ni Inter
Back in England: Jose Mourinho has signed a four-year deal at Chelsea  
Amerudi England: Jose Mourinho amemwaga wino kuifundisha Chelsea kwa miaka minne
Farewell: Jose Mourinho took charge of his final game for Real Madrid before returning to manage Chelsea 
Mechi ya mwisho: Jose Mourinho aliwapungia mkono wa bai bai mashabiki wa Real Madrid

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video