Waziri
 wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi akiwa katika picha ya 
pamoja na  washiriki wa mkutano mkuu wa mwaka  wa  waganga wakuu wa 
mikoa , wilaya na baadhi wa wakurungezi wa hospitali za rufaa na taasisi
 za wizara hiyo wakiwemo wakurugnezi wa asasi za kiraia na wadau wa 
maendeleo.
Waziri
 wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara 
akibadilishana  mawazo na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais , Mahusiano na 
Uratibu ,Stephen   Wasira katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri
 wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake, Sophia Simba akipongezwa na 
baadhi ya wabunge mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya Makadrio ya 
Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2013/2014.
Waziri
 wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake, Sophia Simba   akifurahia 
jambo na Naibu wake  mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya Makadrio 
ya Matumizi ya Fedha kwa wake 2013/2014.
Waziri
 wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake, Sophia Simba akipongezwa na 
baadhi wabunge mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya Makadrio ya 
Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2013/2014.






0 comments:
Post a Comment