Mkurugenzi
 mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti Steve Gannon, katika picha ya 
pamoja na viongozi wa mtaa wa Chang`ombe `B’ baada ya kutembelea kiwanda
 cha bia cha Serengeti jana jijini Dar es Salaam. 
Mwenyekiti
 wa mtaa wa Chang`ombe `B’ Ahmad Khadil akizungumza na wana habari kwa 
niaba ya viongozi wenzake mara baada ya kutembelea mtambo wa kusafisha 
maji taka na kuua kemikali ndani ya kiwanda cha Bia cha Serengeti jana 
jijini Dr es Salaam. 
Mfanyakazi
 wa kiwanda cha Serengeti akimuonesha mwenyekiti wa Chang’ombe` B’ aina 
ya ngano inayotumika katika utengenezaji wa vinywaji vinavyozalishwa 
kiwandani hapo. 
 



0 comments:
Post a Comment