Dakika 45 za kipindi cha kwanza kati ya Azam fc ya Tanzania dhidi ya Barrack YC ya Liberia mechi ya kombe la shirikisho barani afrika zimemalizika kwa suluhu pacha ya bila kufungana.
Sasa kipindi cha pili kinasubiriwa.
Timu zote zinacheza kwa uangalifu na kushambuliana kwa zama.
Kila la heri.

0 comments:
Post a Comment