Friday, February 1, 2013


IMG_0406Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na anajadiliana jambo wageni waliohudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu maji salama na safi kushoto aliye vaa tai nyekundu ni Profesa Shem Wandiga kutoka chuo kikuu cha Nairobi aliye katikati ni Mkurugenzi wa Maji safi na salama duniani Profesa Benito Marinas kutoka chuo kikuu cha ILLINOIS nchini Marekani mkutano huo wa sikutatu unafanyika mjini Arusha Picha na Chris Mfinanga
IMG_0409Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anajadiliana jambo na Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mandela Profesa Burton Mwamila pamoja na Mkurugenzi mkuu wa maji safi na salama  Profesa Benito Marinas kutoka chuo kikuu cha ILLINOIS kilichopo nchini Marekni    Picha na Chris Mfinanga
IMG_0411Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa kimataifa kuhusua maji.
IMEHAMISHIKA KUTOKA FULLSHANGWE LEO

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video