Saturday, February 2, 2013

Mabingwa watetezi wa kombe la kagame, maarufu kama wazee wa Uturuki leo wanatarajia kushuka dimbani kukabiliana na wakata miwa wa Manungu Turiani Mkoani Morogoro, Mtibwa sugar, mchezo utakaopigwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.
Vijana hao wa Ernie Brandts wanataraji kuingia uwanjani kwa lengo la kuendeleza ubabe wao baada ya kutoka nchini Uturuki kwa muda wa wiki mbili,lakini pia kulipa kisasi kwani mzunguko wa kwanza walifungwa mabao matatu 3-0 uwanja wa jamhuri Morogoro.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video