TAARIFA YA JEZI FEKI ZA YANGA Uongozi wa Yanga unapenda kuwatangazia wanachama, mashabiki na wapenzi kuwa klabu bado haijatoa jezi rasm...

UMEONA NDUMBA HIZI ZILIZOIBULIWA UWANJA WA TAIFA KUELEKEA DERBY YA YANGA NA SIMBA KESHO!!!
Vitu ambavyo vinahisiwa kuwa na uhusiano na mambo ya kishirikiana ambavyo baadhi ya mashabiki kati ya Yanga na Simba wamedaiwa kuvinasa k...

MCHAWI WA POGBA NI MOURINHO MWENYEWE
Manchester United jana walikuwa na kibarua kingine Europa League dhidi ya Zorya Luhansk na kushinda bao 1-0, mchezo ambao kocha wa United...
PICHA 6- SERENGETI BOYS WALIVYOKAMUA JANA TAYARI KABISA KUWAVAA CONGO
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 - Serengeti Boys, wakijifua kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbuk...

PICHA TANO- AZAM WALIVYOKAMUA KUJIANDAA KUWAKABILI RUVU SHOOTING
Wachezaji wa timu klabu ya Azam akiwajibika mazoezini leo katika Uwanja wa Chamazi ikiwa ni siku tatu zimebakia kabla ya klabu hiyo kuiva...

MAJINA MAWILI MAKUBWA YAACHWA KWENYE KIKOSI CHA FRANCE KWAAJILI YA MCHEZO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA DHIDI YA BULGARIA
KAULI NZITO YA MAKOCHA SERENGETI BOYS
Makocha wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya vijana wa Tanzania ‘Serengeti Boys’, Bakari Nyundo Shime na Muharami Mohammed anayewanoa maki...

MKWASA ATAJA NYOTA WA TAIFA STARS WATAKAOIVAA ETHIOPIA
Kocha Mkuu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa ametaja majina ya nyota 24 watakaounda kikosi amb...

UMEIONA HII YA ERICK BAILLY KUONEKANA AKIWA NA VIBURUNGUTU VYA BAHASHA VYENYE PESA ZA KUTOSHA
Beki wa kati wa Manchester United Muivory Coast Eric Bailly ameonekana na viburungutu vya bahasha zilizojaa pesa kama alivyopigwa picha n...

UMESIKIA ALICHOSEMA OZIL KUHUSU IWOBI? HAKIKA UTAFURAHI
Mesut Ozil amemwaga sifa kedekede kwa kiungo mshambuliaji mwenza wa Arsenal Alex Iwobi n kusema kuwa aina ya uchezaji wake ni mchanganyik...

KUELEKEA 'DABI YA KARIAKOO', MO AMWAGA NEEMA SIMBA SC
SIMBA SPORTS CLUB DAR ES SALAAM 29-6-2016 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Klabu ya Simba inayo furaha kubwa ya kutan...
VIDEO- HAIKUWA TU ARSENAL VS FC BASEL ILA NI GRANIT NA TAULANT XHAKA PIA, ONA WALICHOKIFANYA BAADA YA MECHI
Arsenal wameshinda mchezo wao Kundi A wa Champions League katika Uwanja wa Emirates usiku wa kuamkia leo. Theo Walcott ndiyo alikuwa ...

MANJI AKABIDHI EKARI 715 KIGAMBONI KWA AJILI YA KUJENGA UWANJA YANGA
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yussuf Manji leo ametoa eneo la ekari 715 na kuikabidhi klabu hiyo maeneo ya Kigamboni Geza Ulole jijini Dar...

ARSENAL KUWAVAA FC BASEL LEO, NIMEKUWEKEA TAKWIMU MUHIMU KUELEKEA MCHEZO HU
Arsenal wanaingia dimbani kusaka ushindi wa kwanza wakiwa nyumbanin kwenye mchezo wa Kundi A katika Michuano ya UEFA msimu huu kufuatia m...

TETESI- OZIL ALAMBA MKATABA MPYA MNONO ARSENAL
MESUT OZIL ameripotiwa kusaini mkataba mpya mnono ambao ndani yake kuna kipengele kinachosema apewe jezi namba 10. Kulikuwa na wasiwa...

SPURS YAWAZIBUA CSKA MOSCOW NYUMBANI KWAO
Son Heung-min ameendelea kuwa kwenye kiwango bora baada ya kuipa Tottenham goli lililowapa ushindi wa kwanza kwenye Champions League dhid...

LEICESTER CITY YASHINDA MCHEZO WA PILI MFULULIZO UEFA
Islam Slimani, ambaye ana rekodi nzuri ya kuwafunga Porto tangu akiwa timu yake ya zamani ya Sporting Lisbon, aliifungia Leicester goli p...

DORTMUND WAKATAA MADRID KUWAVUNJIA REKODI YAO
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Andre Schurrle ndiye alikuwa mwokozi wa Borussia Dortmund na kulinda rekodi yao bora nyumbani dhidi ya ...