Timu ya Cairo kutoka Misri imefanikiwa kutetea taji lake la ubingwa wa mpira wa kikapu wa michuano ya majiji ya Afika Mashariki na Kati (...

Timu ya Cairo kutoka Misri imefanikiwa kutetea taji lake la ubingwa wa mpira wa kikapu wa michuano ya majiji ya Afika Mashariki na Kati (...
Kikosi cha Chelsea kipo kwenye ziara ya sehemu mbalimbali duniani. Walipofika Sydney Australia kama kawaida ulifanyika mkutano na wa...
Baada ya kumaliza msimu wa 2014/2015 wa ligi kuu nchini Hispania La Liga, mshambuliaji hatari wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, C...
Kiongera SIKU moja baada ya Yanga kutangaza kufunga usajili wa wachezaji wa ndani, watani wao wa jadi, Simba nao wametangaza kufunga ...
UONGOZI wa Ndanda fc umeachana na kocha wake, Meja Mstaafu, Abdul Mingange aliyeiongoza timu hiyo robo tatu ya msimu uliopita. Mingange ...
Arsene Wenger amesema ana njaa kubwa ya mafanikio baada ya kutwaa kombe la FA na sasa anaelekeza macho yote kwenye taji la ligi kuu Engla...
Gazeti la michezo la kila siku la Italia, Dello Sport, leo jumapili limeripoti kwamba kiungo wa Juventus, Arturo Vidal anahusishwa kujiu...
Barcelona wanakwenda kuandika historia ya kutwaa makombe matatu jumamosi ijayo mjini Berlin? Ikiwa imebaki wiki moja tu kufikia faina...
Chanongo (kushoto) BAADA ya Yanga kuamua kuachana na mpango wa kujaribu kumsajili Haruna Chonongo, tayari nyota huyo amepata timu ya ...
Timu ya mpira wa kikapu ya Cairo kutoka Misri, jana ilikuwa kivutio kwenye uwanja wa ndani wa Taifa baada ya kuamua kufanya ibada uwanjan...
MALIM Francis Busungu ni miongoni mwa washambuliaji hatari waliopendekezwa na makocha wengi wakati wanataja vikosi vyao bora katika msi...
LEO ina pigwa michezo ya fainali ya mashindano ya mpira wa kikapu kwa majiji ya Afrika Mashariki na Kati (East & Central Africa...
Barcelona imetwaa taji la pili msimu huu, baada ya usiku wa jana kuitandika Athletic Bilbao mabao 3-1 katika fainali ya Kombe la Mfalm...
Cheka (kulia) akidundana na Mthailand Bondia Francis Cheka ameshinda pambano lake la jana usiku kwa kumpiga mpinzani wake Kiatchai Si...
ARSENAL wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la FA baada ya kuichapa Aston Villa magoli 4-0 katika mechi ya fainali iliyomalizika usiku...
Mashabiki wameshindwa kuvumilia hali ya kusubiri mabondia kupanda ulingoni baada ya waandaji wa pambano kati ya Francis Cheka dhidi ya bo...
Busungu akisaini Yanga leo MABINGWA wa soka Tanzania bara, Young Africans wameendelea kuimarisha kikosi chao na leo hii wamekamilisha...
MABINGWA wa soka Tanzania bara, Young Africans wametangaza kumaliza usajili wa wachezaji wa ndani na sasa wanaangalia wa kimataifa. K...
MSHAMBULIAJI Jeryson Tegete na kiungo Nizar Khalfan wamesajiliwa na timu mpya iliyopanda ligi kuu soka Tanzania bara msimu ujao, Mwadui ...
Beki wa kulia Haruna Shamte aliyekuwa akicheza kwenye kikosi cha JKT Ruvu na kiungo mshambuliji wa Coastal Union, Joseph Mahundi wameji...
Na Bertha Lumala, Dar es Salaam UONGOZI wa Mtibwa Sugar FC umesema hatma ya kocha mkuu wao, mzawa Mecky Mexime katika klabu hiyo, it...
Na Bertha Lumala, Dar es Salaam UONGOZI wa mabingwa wa msimu wa 2013/14 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Azam FC wameweka...