Klabu ya Manchester United imefanikiwa kulipiza kisasi cha kufungwa mabao matano kwa matatu dhidi ya Leicester City baada ya kuivurumi...

Klabu ya Manchester United imefanikiwa kulipiza kisasi cha kufungwa mabao matano kwa matatu dhidi ya Leicester City baada ya kuivurumi...
wachezaji wa Simba wakishangilia bao Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi leo hii dhidi ya maafande wa ...
Klabu ya Manchester United inatarajiwa kuchuana vikali na Leicester katika uwanja wa nyumbani wa Old Trafford,huku klabu hiyo ikiendel...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara atakuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya michuano ya Kombe la Ta...
Kocha msaidizi wa klabu ya Real Madrid Paul Clement amesema Winga wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Wales Gareth Bale hataondoka ka...
KIKOSI cha Mbeya City fc kipo safi asilimia 100 kuwavaa Polisi Morogoro ikisaka mzigo mwingine wa pointi tatu katika mechi ya ligi kuu Ta...
EMMANUEL Okwi kamili gado kuivaa JKT Ruvu Stars katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara, kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka kamb...
SIKU Mbeya City inaifunga Simba mabao 2-1, hakika kasi ya Wagonga nyundo hao dakika 20' za mwisho ilikuwa mithiri ya moto uliowashwa ny...
KATIKATI ya wiki hii Mbeya City fc iliichapa Simba mabao 2-1 katika mechi ya ligi kuu Tanzania bara. Simba walikuwa wa kwanza kufunga ...
+10 Kipa wa Manchester United, David de Gea anahusishwa kujiunga na Real Madrid LOUIS van Gaal amekiri kuwa kipa anaye...
ROBO fainali ya kombe la mataifa ya leo inaanza kushika kasi leo usiku kwa mechi mbili kupigwa. Mapema saa 1:00 usiku, Congo wanachuana...
MCHAMBUZI maarufu wa soka, Bloomberg Sports anaamini kuwa Chelsea wana nafasi kubwa zaidi ya kuwafunga wapinzani wao Manchester United ...
CHELSEA leo wanaikaribisha Manchester City katika uwanja wa Stamford Bridge na timu hizi mbili zimekuwa na kiwango kizuri msimu huu. Me...
Mechi namba 120 ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kundi A kati ya Majimaji na Friends Rangers iliyochezwa jana (Januari 29 mwaka huu) Uwanja...
KIONGOZI wa tawi la Mpira Pesa la Magomeni jijini Dar es salaam, Ustadh Masoud kwa niaba ya wanachama wenzake amemshutumu makamu wa Rais ...
YANGA SC imeendelea kujifua kujiandaa na mechi ya kesho kutwa uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam dhidi ya Ndanda fc. Mkuu wa Idara...
JKT Ruvu Stars imejipanga kuichapa Simba na kuizidishia machungu zaidi katika mechi ya ligi kuu Tanzania bara itayopigwa kesho jioni uwan...
Matola (kushoto) akiwa na kocha mkuu wa Simba, Goran Kopunovic KOCHA msaidizi wa Simba, Seleman Abdallah Matola ‘Veron’ ameomba kuach...
KIUNGO mshambuliaji wa Simba Sc, Mganda Emmanuel Anord Okwi anatarajia kuivaa JKT Ruvu kesho uwanja wa Taifa katika mechi ya ligi kuu Tan...
+5 Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa (kulia) akiondoka na mpira baada ya kumkanyaga Emre Can PAUL Scholes anaamini k...
+5 ARSENE WENGER amemaliza biashara ya usajili wa dirisha dogo kufuatia kuinasa saini ya Gabriel Paulista. Dirisha dogo ...
+3 Bayern Munich wameacha na mpango wa kumsajili Marco Reus Bayern Munich wameachana na mbio za kumsajili Marco Reus n...